
Mchezaji wa Simba Hassan Dilunga kushoto akiwania mpira dhidi ya Ally Mtoni wa Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu msimu uliopita
Taarifa ya Bodi imeeleza sababu za mchezo huo kuahirishwa ni za kitabibu kutokana na wachezaji 16 wa klabu ya Simba kuwa wagongwa kati ya wachezaji 22 waliosafiri na kikosi hicho kwenda Mkoani Kagera kwa ajili ya mchezo huo.
Zaidi taarifa ya TPLB imeeleza sababu za mchezo huo kutochezwa kwa kuhusisha na sababu za kikanuni,
Taarifa ya Bodi ya Ligi juu ya ufafanuzi wa kuahirishwa kwa mchezo wa Kagera Sugar dhidi ya Simba SC