Jumatatu , 16th Mei , 2022

Huenda msanii Malkia Karen akaenda kufanya 'Surgery' kama baadhi ya mastaa wengine walivyofanya ili kupunguza tumbo kwenye mwili wake.

Picha ya msanii Malkia Karen

Malkia Karen ameweka wazi kwamba vitambi vinasumbua sana wadada hivyo hata yeye akipata pesa zake ataenda kukitoa. 

Pia ameongeza kusema sio mbaya kwa mtu mwenye uwezo wake kurekebisha kitu kwenye mwili wake.