Picha ya Mzee Kitambi Noma na baiskeli yake
Mzee Kitambi Noma amekadiria kutumia siku 5 mpaka 6 njiani mpaka kufika Jijini Mwanza.
Interview nzima bonyeza hapa kutazama.
Shabiki wa Yanga Mzee Kitambi Noma (70) ametangaza kuanza safari ya Dar es Salaam mpaka Mwanza kwa kutumia Baiskeli yake kwa ajili ya kuangalia nusu fainali ya Kombe la FA kati ya Simba na Yanga siku ya Mei 28.
Picha ya Mzee Kitambi Noma na baiskeli yake
Mzee Kitambi Noma amekadiria kutumia siku 5 mpaka 6 njiani mpaka kufika Jijini Mwanza.
Interview nzima bonyeza hapa kutazama.