Jumatano , 15th Jun , 2022

Msanii Zuwena Mohammed Shilole hataki masihara kabisa na mume wake Rommy, ametangaza kumshushia mwanamke yeyote kichapo atakayeleta mazoea na mwanaume wake huyo. 

Picha ya msanii Shilole

Shilole anasema kuwe na mipaka kwa mke na mume wa mtu kwa sababu hata yeye hana mazoea na wanaume za watu.

Zaidi mtazame Shilole akizungumzia hilo hapa chini.