Mtoto aliyebakwa
Tukio hilolimeleta maumivu makubwa Kwa mama yake ambaye anazungumza kwa shida kutokana na uchungu alionao baada ya mtoto wake kutendewa kitendo hicho cha ukatili.
Mtoto aliyefanyiwa kitendo hicho cha ukatili ameeleza hali halisi ilivyokuwa mpaka kufikia hatua ya kufanyiwa ukatili mara kwa mara na kutokusema kwa mzazi.
Kwa upande wake daktari wa hospital teule ya rufaa ya Mkoa wa Katavi Dkt. Boniphas Lyimo, amethibitisha kumpokea mtoto huyo na vipimo vimebaini ameingiliwa kimwili.

