
Dereva huyo alikodishwa na mtu ambaye hajafahamika tangu Oktoba 21.2022 saa tatu na nusu usiku.
Katika hatua lingine Kamanda wa Polisi Kiteto George Katabazi amethibitisha kupatikana kwa kijana huyo akia amefariki
Aidha Kamanda Katabazi ameeleza kuwa mtu mmoja amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kujeruhi ng'ombe 4 kwa risasi