East Africa TV na East Africa Radio kwa kushirikiana na DTB BANK kupitia kampeni ya Namthamini tumekabidhi taulo za kike (Reuseble Sanitary Pads) zaidi ya 315 kwa wasichana wa Shule za Sekondari Mwera, Machui na Mwera Pongwe ndani ya Zanzibar.