
Picha ya Harmonize na Ibraah
"Mdogo angu Harmonize hebu maliza hili, wewe na Ibraah mnapoelekea sio pazuri, umepambania ukubwa umeupata, ulinde achana na hizi mbanga huyo ni mdogo wako muite myamalize mnapoelekea sio pazuri utachagua KAJALA au IBRA".
"Mimi nakujua huna roho mbaya kiasi hicho kwa upendo uliokuwa nao kwa Ibraah hebu kaeni chini Mtwara mbali ndugu zangu".
Wasanii hao wa Konde Gang Music wameitwa Baraza Sanaa la Taifa (BASATA) asubuhi ya leo kuzungumza kinachoendelea kati yao.