Jumanne , 9th Dec , 2025

Kwanza kabisa namuomba DJ anipigie ngoma ya 'Mtazamo' ya Afande Sele, Prof Jay na SoloThang ili nianze kutaja 'First Eleven' ya waliopata ustaa, umaarufu na majina makubwa kwenye BongoFlava.

Picha za wasanii Mr Nice, Chidi Benz na Diamond Platnumz

Kikosi cha kwanza kwenye mpira lazima kiwe na wachezaji 11, ila hapa nazungumzia 'First Eleven' ya waliofikia Level ya juu kabisa ya ustaa, umaarufu, ku-hit na kupata majina makubwa kimuziki

- Prof Jay
- Dully Sykes
- P Funk Majani Master J
- Mr Nice
- Mr Blue
- Juma Nature
- TID Music
- Jide
- Alikiba
- Chidi Benz
- Diamond Platnumz

Kwa First Eleven hiyo, SUB ungemuweka nani na nani?

Ni mtazamo tu, msikasirike washkaji haya mawazo tu.