picha ya msanii Ibraah
Kwenye post yake mpya msanii huyo ameandika
"Naomba muwatag mashekhe ambao nitaowasahau kwenye hii post, Maana ninahisi funga yangu ita tetereka wanisaidie hili"
"Hivi katika Uisilam inaruhusiwa mwanamke kumuacha mwanaume au ni mwanaume kumuacha mwanamke tu maana nimeachwa na ninaye muita mke wangu".
Una lipi la kumwambia Ibraah katika hili?




