Kusah hana mpango wakumuacha Aunty Ezekiel
Msanii wa kizazi kipya Kusah amefunguka kuwa hana kabisa mipango ya kuachana na mke wake AAunty Ezekiel kwasababu ana kila kitu ambacho yeye anakitaka,mbali na hiyo pia ameweka wazi kuwa kwasasa ni rasmi wawili hao ni Mke na Mume