Shai Gilgeous-Alexander MVP wa fainali NBA 2025
Shai Gilgeous-Alexander mchezaji nyota wa timu ya The Oklahoma City Thunder ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa fainali ya ligi ya mpira wa kikapu Marekani NBA (NBA Final MVP) 2025. Pia ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa 11 kushinda tuzo ya MVP wa Ligi (regular-season) na MVP wa fainali