Olamide amvuta Dr. Dre Afrika Msanii na mmiliki wa label ya YBNL Olamide ameachia album yake mpya yenye jumla ya ngoma 17 yenye jina la Olamide ambayo tayari inapatikana kwenye mitandao mbalimbali ya kusikilizia muziki dunaini Read more about Olamide amvuta Dr. Dre Afrika