Man United watenga bil 182 kumnasa Mbeumo
Klabu ya Manchester United ipo katika mazungumzo ya mwisho na klabu ya Brentford kwaajili ya kuinasa saini ya mshambuliaji wa timu hiyo Bryan Mbeumo kwa thamani ya Euro millioni 60 ambayo ni zaidi ya bilioni 182 kwa fedha za Tanzania.