Kampeni ya Namthamini yakamilika Kigoma Wanafunzi wa Kigoma Grand Sekondari wakifurahi baada ya kupokea taulo za kike Zoezi la ugawaji wa taulo za kike katika kampeni ya Namthamini mwaka 2021 limekamilika katika mkoa wa Kigoma. Read more about Kampeni ya Namthamini yakamilika Kigoma