Fisi atafuna kiganja cha mkono
Emmanuel Ndete (20), mkazi wa Kata ya Kharumwa, wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, amenusurika kifo baada ya kushambuliwa mpaka kukatwa kiganja cha mkono na Fisi, usiku wa Oktoba 29 majira ya saa 2:00 usiku wakati anarudi nyumbani kwake.