Aponzwa na ujumbe wa 'good morning babe'
Mwanaume mmoja nchini Nigeria aitwaye Akintunde Adegbesan, amemfungulia mashtaka mwanaume aitwaye Sikiru Jamiu akimtuhumu kumuita 'Babe' mke wake alipomtumia ujumbe wa kumsalimia na kuandika 'Good morning babe' kupitia WhatsApp.