Amuuwa mke kwa sumu ya Nyoka Picha ya Sooraj Kumar akiwa Mahakani Kijana Sooraj Kumar (28) kutoka Kerala nchini India amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumuuwa mkewe Uthra (25) Mei 2020 kwa kutumia sumu kali ya nyoka anayejukana kama Cobra. Read more about Amuuwa mke kwa sumu ya Nyoka