Simba kutobutua, Yanga wasema mechi ya wakubwa
Nahodha msaidizi wa klabu ya Yanga SC Haruna Niyonzima amesema wamejiandaa vizuri kuelekea mchezo wa watani wa jadi ana anafahamu vyema kuwa mchezo mkubwa huchezwa na wachezaji wakubwa, huku kocha akieleza kuwa kila mechi kwao ni sawa hivyo wamejipanga kucheza vizuri katika kila mechi.