Nawagwaya N'golo Kante ,Casemiro tu -Pogba

Huyu ndiyo N'golo Kante ambaye Paulo Pogba amekiri ni kiboko yake

Kiungo bora wa Manchester United Paulo Pogba amewataja N'golo Kante na Casemiro kuwa ndiyo wachezaji wanaompa upinzani mkubwa wakutanapo uwanjani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS