"Tulijisahau, tumetumia sana pesa" - Juma Nature
Mkali wa 'chorus' Juma Nature amewashauri wasanii wapya kwenye 'game' ya BongoFleva kwa kusema wakipata pesa waangalie vitu vya msingi vya kufanya na kuwekeza kwenye vitu vya maana kwa sababu muda haurudi nyuma.