Ramos kuisubiri Chelsea Sergio Ramos Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Hispania La Liga Real Madrid wataendelea kumkosa nahodha wa kikosi hicho Sergio Ramos kwenye mchezo wa usiku wa leo wa ligi kuu dhidi ya Osasuna. Read more about Ramos kuisubiri Chelsea