Country Boy uso kwa uso na Davido Picha ya Country Boy na Davido Ni 'Headlines' kutoka nchini Nigeria ambapo kwa mara ya kwanza msanii HipHop Bongo Countyr Boy amekutana na staa wa Taifa hilo na Africa kwa ujumla bwana Davido Adeleke 'OBO'. Read more about Country Boy uso kwa uso na Davido