Rais Samia achaguliwa kuwa Mwenyekiti CCM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mhe. Samia Suluhu Hassan

Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM wamemchagua Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho kwa kura za ndiyo 1862 sawa na asilimia 100 ya kura zote

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS