Nagelsmann kocha mpya Bayern Munich Julian Nagelsmann Klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani imethibitisha Julian Nagelsmann kuwa kocha mpya wa kikosi hicho na ataanza majukumu yake mapya Julai 1, 2021. Read more about Nagelsmann kocha mpya Bayern Munich