Mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere kwenye moja ya michezo ya VPL
Vinara wa Ligi Kuu Tanzania bara Simba SC wanashuka dimbani kuwakabili Dodoma Jiji kutoka makao makuu ya nchi Dodoma, mchezo utakao chezwa kwenye uwanja wa Mkapa Dar es salaam majira ya Sa 1:00 Usiku.