Tamko la Azam kuhusu Prince Dube kutua Simba

Mtendaji Mkuu wa Azam Fc (Kushoto), akipeana mkono na mshambuliaji Prince Dube(Kulia) mara baada ya kusaini mkataba wa kuwatumikia waoka mikate hao wa Chamazi.

Uongozi wa Klabu ya Azam Fc umesisitiza kwamba mshambuliaji wao Prince Dube hatoondoka klabuni hapo kama ambavyo imearifiwa na mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa huenda atajiunga na wekundu wa msimbazi Simba mwishoni mwa msimu huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS