Simba yafanya kweli kwa Shomari Kapombe

Mlinzi wa kulia wa Klabu ya Simba, Shomari Kapombe mara baada ya kusaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia msimbazi.

Mlinzi wa kulia Shomari Kapombe, amesaini mkataba mpya wa miaka miwili utakaoendelea kumuweka klabuni hadi mwaka 2023.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS