Tyson Fury ajigamba kumchakaza Joshua.

Bondia Tyson Fury (kushoto) na Anthony Joshua (kulia).

Bondia wa uzani wa juu, Tyson Fury amesema iwapo mshindani wake Anthony Joshua atapita raundi ya tatu kwenye pambano lao la uzito wa juu basi yeye ataondoka ulingoni na kuacha pambano hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS