Manchester United yamuongezea mkataba Erick Bailly

Mlinzi wa kati wa Manchester United, Erick Bailly akisaini mkataba mpya jioni ya leo.

Klabu ya Manchester United imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja mlinzi wake wa kati, Erick Bailly jioni ya leo Aprili 26, 2021 kuendelea kuitumikia klabu hiyo hadi mwaka mwishoni mwa msimu wa mwaka 2024.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS