Dk.Mpango aweka wazi matumzi ya fedha za Muungano
Makamu wa Rais wa wa Tanzania Dk. Philip Mpango amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar, imefanikiwa kutatua changamoto kumi na tano za Muungano kati ya changamoto ishirini na tano, huku wakiendelea na jitihada za kutatua zilizobaki.