Daniel EK : Nataka kuinunua Arsenal

Bilionea Daniel EK (kushoto), gwiji wa Arsenal, Patrick Vieira (katikati) na Thierry Henry (Kulia).

Mwasisi na Afisa mtendaji mkuu wa mtandao wa Spotify ambao unajihusisha na biashara ya muziki ya mtandaoni amekiri kuwa tayari kuinunua klabu ya Arsenal kama familia ya Kroenke ipo tayari kuiweka sokoni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS