Tanzania inauwezo kujitosheleza mafuta ya kula Mafuta ya Alizeti na Mbegu za Alizeti Tanzania inauwezo wa kupata hitaji lake la mafuta ya kula ambayo yanahitajika nchini kwa mwaka mzima kiasi cha lita tani 570,000-600,000 kwa kutumia mbegu za mazao zinazozalishwa kwa wingi hapa nchini. Read more about Tanzania inauwezo kujitosheleza mafuta ya kula