Anjella asimulia historia yake na Ibiza Boy

Msanii Anjella kushoto, kulia ni aliyekuwa mburudishaji wa FNL Ibiza Boy

First lady wa lebo ya Konde Music Wordwide Anjella amesema anamfahamu aliyekuwa mburudishaji wa show ya Friday Night Live David Urasa 'Ibiza Boy' kama mtoto wa mwenye nyumba yake ambapo alikuwa amepanga yeye na rafiki yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS