Ripoti ya Ninje kuhusu waamuzi kutua TFF
Kocha na mmiliki wa Klabu ya Mbao Fc ya Jijini Mwanza, Ammy Ninje amekusudia kukutana na Shirikisho la soka nchini TFF ili kuwapa ripoti yake binafsi na kujadili namna ambavyo waamuzi wamekuwa wakichezesha vibaya mechi za Ligi Daraja la kwanza Tanzania bara kiasi cha kuathiri maendeleo ya