Kimeumana VPL leo, rekodi za ibeba Simba, Namungo

Wachezaji wa Simba

Ligi kuu soka Tanzania bara inaendelea leo kwa michezo miwili, mchezo wa mapema utachezwa majira ya Saa 8:00 Mchana mkoani Lindi, na mchezo mwingine utapigwa Jijini Mwanza majira ya Saa 10:00 Jioni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS