Mtoto wa miaka mitano abakwa Kagera

Kaimu kamanda wa polisi mkoani Kagera Maketi Msangi

Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitano mkazi wa kijiji Katuruka kata Kanyangereko Bukoba Vijijini ambaye jina lake limehifadhiwa, anaendelea kuteswa na tatizo la kutokwa na mkojo muda wote, alilolipata baada ya kubakwa na mtu anayetajwa kuwa ndugu wa karibu wa mama mzazi wa mtoto huyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS