Tanzania si haba mpira wa wavu Tunisia

Wachezaji wa MTC wakishangilia ushindi

Wawakilishi pekee wa Tanzania katika mashindano ya klabu bingwa ya mpira wa wavu Africa MTC kutoka Mwanza jana walishinda mchezo wao dhidi Societe Omnisport de Armie ya Cameroon, katika robo fainali ya kundi la pili isiyotoa ubingwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS