Dube amefunga tena, Azam yabanwa mbavu na Dodoma Prince Dube amefikisha mabao 11 ya VPL msimu huu Klabu ya Azam FC imetoshana nguvu na Dododma jiji FC kwa kutoka sare ya mabao 2-2, katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliochezwa katika dimba la Jamuhuri Dododma. Read more about Dube amefunga tena, Azam yabanwa mbavu na Dodoma