Dar yaanza kuchukua tahadhari Jobo, TMA yanena

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge amesema kufuatia taarifa ya kuwepo kwa kimbunga cha Jobo katika Bahari ya Hindi, mkoa huo umeanza maandalizi ya kuchukua tahadhari kuhakikisha usalama wa wananchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS