Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Ummy Mwalimu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amemsimamisha Kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Magesa Boniphace kuanzia leo 20 April, 2021 ili kupisha uchunguzi dhidi yake.