Wanapokwama wachezaji wa kikapu wa Tanzania
Kocha mkongwe wa mpira wa kikapu Nchini Tanzania Bahati Mgunda amesema Kinacho wakwamisha vijana wengi kukosa nafasi za kwenda kucheza mpira wa kikapu nje ya Africa ni kufeli masomo yao na Vimo vyao vifupi.