Nimezungumza vizuri na Trump - Zelensky

Rais  Volodymyr Zelensky wa Ukraine amesema yeye na Donald Trump wamefanya majadiliano yenye tija kuhusu vikwazo dhidi ya Urusi, ushirikiano wa kiulinzi na utengenezaji wa ndege zisizo na rubani kabla ya ziara ya mjumbe wa Marekani Steve Witkoff huko mjini Moscow.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS