Harry Kane ashikiki EPL lakini hali aacha utata.
Mshambualiaji na nahodha wa klabu ya Tottenham Hotspurs, Harry Kane ameonesha kiwang o safi kwa kufunga mabao mawili yalioisaidia timu yake kulazimisha sare ya 2-2 dhidi ya Everton usiku wa jana ugenini kwenye dimba la Godison park.