Marais 11 kumuaga Dk. Magufuli
Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas amesema hadi sasa marais 11 wemethibitisha kuungana na Watanzania katika kumuaga na kuomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mkoani Dodoma.