Huu ndiyo ujumbe wa Kenyatta kwa Rais Samia

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufuata nyayo za Hayati Dkt. John Magufuli, kwa kuwa tayari amekwishamuonesha njia ya utendaji kazi na kuwaomba Watanzania kushikamana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS