Simba kuweka rekodi Afrika

Kiungo wa Simba Luís Miquissone

Mabingwa wa soka Tanzania bara Simba SC leo wanashuka dimbani kucheza mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi klabu bingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri ukiwa ni mchezo wa kundi A. Huku wakiwa wanaiwinda rekodi ya kutopoteza mchezo kwenye hatua hii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS