Pyramids yaendeleza ubabe Tanzania Wachezaji wa Namungo Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika klabu ya Namungo FC, imepoteza mchezo wa pili mfululizo wa kundi D’ kwa kufungwa mabao 2-0 na Pyramids ya Misri. Read more about Pyramids yaendeleza ubabe Tanzania