Rekodi kali za Benzema nyuma ya wakali wa UEFA
Mshambuliaji wa Real Madrid raia wa Ufaransa Karim Benzema, amekuwa mchezaji wa tano kufikisha mabao 70 kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya, mshambuliaji huyo alifunga goli 1 kwenye ushindi wa mabao 3-1 walioupata dhidi ya Atalanta jana usiku.