'Ujeuri wa Simba upo hapa' - Profesa Kapuya Profesa Athuman Kapuya Waziri wa zamani wa Serikali katika awamu tofauti tofauti za uongozi nchini, Profesa Juma Athuman Kapuya ametaja sababu kadhaa zinazoifanya Simba SC kuwa bora kwa sasa kitaifa na kimataifa. Read more about 'Ujeuri wa Simba upo hapa' - Profesa Kapuya